Kumbukumbu la Torati 6:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yaandikeni kwenye miimo ya milango yenu na malango ya miji yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yaandikeni kwenye miimo ya milango yenu na malango ya miji yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yaandikeni kwenye miimo ya milango yenu na malango ya miji yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako. Tazama sura |