Kumbukumbu la Torati 6:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Ndipo umwambie mwanao, Tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri; BWANA, akatutoa kutoka Misri kwa mkono wa nguvu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Nyinyi mtawajibu hivi: ‘Sisi tulikuwa watumwa wa Farao, mfalme wa Misri, na Mwenyezi-Mungu akatuokoa kwa mkono wake wenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Nyinyi mtawajibu hivi: ‘Sisi tulikuwa watumwa wa Farao, mfalme wa Misri, na Mwenyezi-Mungu akatuokoa kwa mkono wake wenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Nyinyi mtawajibu hivi: ‘Sisi tulikuwa watumwa wa Farao, mfalme wa Misri, na Mwenyezi-Mungu akatuokoa kwa mkono wake wenye nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mwambie: “Tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri, lakini Mwenyezi Mungu alitutoa sisi kutoka Misri kwa mkono wenye nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mwambie: “Tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri, lakini bwana alitutoa sisi kutoka Misri kwa mkono wenye nguvu. Tazama sura |