Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 ya kuwa atawasukumia nje adui zako wote mbele yako, kama alivyosema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Mwenyezi Mungu alivyosema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama bwana alivyosema.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 6:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuoneshe maungo yao.


Nami nitakuwekea mpaka wako tangu Bahari ya Shamu hadi bahari ya Wafilisti, tena tangu jangwani hata huo Mto; kwa kuwa nitawatia wenyeji wa nchi mkononi mwako; nawe utawafukuza mbele yako.


Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa BWANA; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri BWANA aliyowaapia baba zako,


Na zamani zijazo atakapokuuliza mwanao, akikuambia, Ni nini mashuhudizo, na amri, na hukumu, alizowaagiza BWANA, Mungu wetu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo