Kumbukumbu la Torati 6:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Msifuate miungu mingine katika miungu ya mataifa wawazungukao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Msiabudu miungu mingine, miungu ya watu walio jirani nanyi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Msiabudu miungu mingine, miungu ya watu walio jirani nanyi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Msiabudu miungu mingine, miungu ya watu walio jirani nanyi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; Tazama sura |
Pia niliwatuma watumishi wangu wote, manabii, kwenu ninyi, nikiwatuma pasipo kukoma, nikisema, Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya, mkatengeneze matendo yenu, wala msiifuate miungu mingine, ili kuitumikia, nanyi mtakaa katika nchi hii, niliyowapa ninyi na baba zenu; lakini hamkutega masikio yenu, wala hamkunisikiliza.