Kumbukumbu la Torati 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Na hii ndiyo sheria, amri na hukumu, alizoziamuru BWANA, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayovuka kuimiliki; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Haya ndio maagizo, amri na sheria ambazo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo bwana Mwenyezi Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki, Tazama sura |