Kumbukumbu la Torati 5:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Naye BWANA akasikia sauti ya maneno yenu mliyoniambia; BWANA akaniambia, Nimesikia sauti ya maneno ya watu hawa waliyokuambia; wamesema vema yote waliyosema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Mwenyezi Mungu aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na Mwenyezi Mungu akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 bwana aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na bwana akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri. Tazama sura |