Kumbukumbu la Torati 5:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Nenda karibu wewe, ukasikie yote atakayoyasema BWANA, Mungu wetu; ukatuambie yote atakayokuambia BWANA, Mungu wetu; nasi tutayasikia na kuyatenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Sogea karibu usikie yale yote asemayo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anakuambia. Tutasikiliza na kutii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Sogea karibu usikie yale yote asemayo bwana Mwenyezi Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho bwana Mwenyezi Mungu wetu anakuambia. Tutasikiliza na kutii.” Tazama sura |