Kumbukumbu la Torati 4:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC49 na Araba yote iliyo ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, hata mpaka bahari ya Araba, chini ya materemko ya Pisga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 pamoja na eneo lote la Araba mashariki mwa Yordani, na kuenea hadi Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 pamoja na eneo lote la Araba mashariki ya Yordani, na kuenea mpaka Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga. Tazama sura |