Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 4:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

45 haya ndiyo maagizo, amri na hukumu, Musa alizowaambia wana wa Israeli walipotoka Misri;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Haya ndio masharti, amri na sheria Musa alizowapa Waisraeli walipotoka Misri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Haya ndiyo masharti, amri na sheria Musa aliyowapa wana wa Israeli wakati walitoka Misri,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 4:45
13 Marejeleo ya Msalaba  

uyashike mausia ya BWANA, Mungu wako, uende katika njia zake, uzishike sheria zake, na amri zake, na hukumu zake, na shuhuda zake, sawasawa na ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, upate kufanikiwa katika kila ufanyalo, na kila utazamako;


Shuhuda zako nimezifanya urithi wa milele, Maana ndizo changamko la moyo wangu.


Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi.


Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.


Uniondolee laumu na dharau, Kwa maana nimezishika shuhuda zako.


Shuhuda zako nazo ndizo furaha yangu, Na washauri wangu.


Ningependa njia zangu ziwe thabiti, Nizitii amri zako.


Nitakushukuru kwa unyofu wa moyo, Nikiisha kujifunza hukumu za haki yako.


Na sasa, Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu ninazowafundisha, ili mzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki nchi anayowapa BWANA, Mungu wa baba zenu.


Na torati Musa aliyowawekea wana wa Israeli ni hii;


ng'ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri;


Zishikeni kwa bidii sheria za BWANA, Mungu wenu, na maagizo yake, na amri zake alizokuagiza.


Na zamani zijazo atakapokuuliza mwanao, akikuambia, Ni nini mashuhudizo, na amri, na hukumu, alizowaagiza BWANA, Mungu wetu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo