Kumbukumbu la Torati 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 au mfano wa kitu chochote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki yeyote aliye katika maji chini ya nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 au kama kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi, au samaki yeyote aliye ndani ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 au kama kiumbe kitambaacho juu ya ardhi au samaki yeyote aliye ndani ya maji. Tazama sura |