Kumbukumbu la Torati 4:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yoyote, mfano wa mwanamume au mwanamke, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 ili msije mkajichafua na kujitengenezea sanamu au kinyago chenye umbo lolote kama la mwanaume au mwanamke, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 ili msije mkajichafua na kujitengenezea sanamu au kinyago chenye umbo lolote kama la mwanaume au mwanamke, Tazama sura |