Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 BWANA akaniamuru wakati ule niwafundishe maagizo na hukumu, mpate kuzitenda katika nchi ile mtakayoivukia ili kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Wakati huo Mwenyezi-Mungu aliniamuru niwafundishe masharti na maagizo yote ambayo mnapaswa kuyatekeleza katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wakati huo Mwenyezi-Mungu aliniamuru niwafundishe masharti na maagizo yote ambayo mnapaswa kuyatekeleza katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wakati huo Mwenyezi-Mungu aliniamuru niwafundishe masharti na maagizo yote ambayo mnapaswa kuyatekeleza katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Naye Mwenyezi Mungu alinielekeza wakati huo kuwafundisha ninyi sheria na amri ambazo mnapaswa kuzifuata katika nchi ambayo mnavuka Yordani kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Naye bwana alinielekeza wakati huo kuwafundisha ninyi sheria na amri ambazo mnapaswa kuzifuata katika nchi ambayo mnavuka Yordani kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 4:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi hukumu utakazoziweka mbele ya watu ni hizi

Kwa hiyo yaangalieni maagizo yote niwaagizayo leo, mpate kuwa na nguvu, na kuingia mkaimiliki nchi mwivukiayo kuimiliki;

Akawahubiria agano lake, alilowaamuru kulitenda, yaani, zile amri kumi; akaziandika katika vibao viwili vya mawe.

Jihadharini nafsi zenu basi; maana hamkuona umbo la namna yoyote siku ile BWANA aliyosema nanyi kutoka kati ya moto;

Msiliongeze neno ninalowaamuru wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, ninazowaamuru.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo