Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 33:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “Reubeni na aishi, asife, wala watu wake wasiwe wachache.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “Reubeni na aishi, asife, wala watu wake wasiwe wachache.”

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 33:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.

Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.

Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.

Haya ndiyo majina ya wanaume watakaokusaidia; Wa Reubeni; Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo