Kumbukumbu la Torati 33:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akawa mfalme katika Yeshuruni, Walipokutanika wakuu wa watu, Makabila yote ya Israeli pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu akawa mfalme wa Israeli, wakati viongozi wao walipokutana, na makabila yote yalipokusanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu akawa mfalme wa Israeli, wakati viongozi wao walipokutana, na makabila yote yalipokusanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu akawa mfalme wa Israeli, wakati viongozi wao walipokutana, na makabila yote yalipokusanyika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni wakati viongozi wa watu walipokusanyika, pamoja na makabila ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni wakati viongozi wa watu walipokusanyika, pamoja na makabila ya Israeli. Tazama sura |