Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 33:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya BWANA; Umiliki magharibi na kusini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa Mwenyezi Mungu, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa bwana, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.”

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 33:23
10 Marejeleo ya Msalaba  

Naftali ni ayala aliyefunguliwa; Anatoa maneno mazuri.


Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha kutoka mto wa furaha zako.


Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.


Nami nitaishibisha roho ya makuhani kwa unono, na watu wangu watashiba kwa wema wangu, asema BWANA.


Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.


akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;


Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia.


Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo