Kumbukumbu la Torati 33:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako; Na Isakari, katika hema zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako. Tazama sura |