Kumbukumbu la Torati 32:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa kuwa fungu la Mwenyezi Mungu ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa kuwa fungu la bwana ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi. Tazama sura |
Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! BWANA hakukutia mafuta [uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa BWANA, na kuwaokoa kutoka kwa mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa BWANA amekutia mafuta] uwe mkuu juu ya urithi wake.