Kumbukumbu la Torati 32:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC52 Kwani utaiona hiyo nchi mbele yako, lakini hutakwenda huko kuingia hiyo nchi niwapayo wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Kwa hiyo, utaiona tu nchi kwa mbali; wewe hutaingia nchi ninayowapa watu wa Israeli.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Kwa hiyo, utaiona tu nchi kwa mbali; wewe hutaingia nchi ninayowapa watu wa Israeli.” Tazama sura |