Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 32:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

44 Musa akaja akasema maneno haya yote ya wimbo huu masikioni mwa watu, yeye na Yoshua, mwana wa Nuni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Musa na Yoshua mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Musa na Yoshua mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 32:44
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hayo ndiyo majina ya hao watu waliotumwa na Musa waende kuipeleleza nchi. Na huyo Hoshea mwana wa Nuni, Musa akamwita jina lake Yoshua.

Katika kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni

Basi Musa akauandika wimbo huu siku iyo hiyo, akawafundisha wana wa Israeli.

Musa akasema maneno ya wimbo huu masikioni mwa kusanyiko la wana wa Israeli hata yakaisha.

Musa akamaliza kuwaambia Israeli wote maneno haya yote;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo