Kumbukumbu la Torati 32:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Mvinyo yao ni sumu ya majoka, Uchungu mkali wa nyoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila. Tazama sura |