Kumbukumbu la Torati 32:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Maana, mzabibu wao ni mzabibu wa Sodoma, Nao ni wa mashamba ya Gomora; Zabibu zao ni zabibu za uchungu, Vichala vyao ni vichungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Maana mizabibu yao ni miche ya Sodoma zimetoka katika konde za Gomora; zabibu zake ni zabibu zenye sumu, vishada vyake ni vichungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Maana mizabibu yao ni miche ya Sodoma zimetoka katika konde za Gomora; zabibu zake ni zabibu zenye sumu, vishada vyake ni vichungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Maana mizabibu yao ni miche ya Sodoma zimetoka katika konde za Gomora; zabibu zake ni zabibu zenye sumu, vishada vyake ni vichungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Mzabibu wao unatoka mzabibu wa Sodoma, na kutoka mashamba ya Gomora. Zabibu zake zimejaa sumu, na vishada vyake vimejaa uchungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Mzabibu wao unatoka kwenye mzabibu wa Sodoma, na kutoka kwenye mashamba ya Gomora. Zabibu zake zimejaa sumu, na vishada vyake vimejaa uchungu. Tazama sura |