Kumbukumbu la Torati 32:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nitalitangaza jina la Mwenyezi Mungu. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nitalitangaza jina la bwana. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu! Tazama sura |