Kumbukumbu la Torati 32:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Watakonda kwa njaa, wataliwa na makaa ya moto, Na uharibifu mkali; Nitawapelekea meno ya wanyama wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Nitatuma njaa ya kudhoofisha dhidi yao, maradhi mabaya yateketezayo, na tauni ya kufisha; nitawapelekea wanyama mwitu wenye meno makali, na nyoka wenye sumu watambaao mavumbini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, yateketezayo na tauni ya kufisha; nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. Tazama sura |