Kumbukumbu la Torati 32:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Nitaweka madhara juu yao chungu chungu; Nitawapiga kwa mishale yangu hata ikaishe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “Nitalundika majanga juu yao na kutumia mishale yangu dhidi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “Nitalundika majanga juu yao na kutumia mishale yangu dhidi yao. Tazama sura |