Kumbukumbu la Torati 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Akasema, Nitawaficha uso wangu, Nitaona mwisho wao utakuwaje; Maana, ni kizazi cha ukaidi mwingi, Watoto wasio imani ndani yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Akasema, ‘Nitawaficha uso wangu nione mwisho wao utakuwaje! Maana wao ni kizazi kipotovu, watoto wasio na uaminifu wowote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Akasema, ‘Nitawaficha uso wangu nione mwisho wao utakuwaje! Maana wao ni kizazi kipotovu, watoto wasio na uaminifu wowote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Akasema, ‘Nitawaficha uso wangu nione mwisho wao utakuwaje! Maana wao ni kizazi kipotovu, watoto wasio na uaminifu wowote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Akasema, “Nitawaficha uso wangu, nami nione mwisho wao utakuwa nini, kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka, watoto ambao si waaminifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Akasema, “Nitawaficha uso wangu, nami nione mwisho wao utakuwa nini, kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka, watoto ambao si waaminifu. Tazama sura |