Kumbukumbu la Torati 32:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 BWANA akaona, akawachukia, Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mwenyezi Mungu akaona hili, akawakataa, kwa sababu alikasirishwa na wanawe wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 bwana akaona hili, akawakataa, kwa sababu alikasirishwa na wanawe na binti zake. Tazama sura |