Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 32:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 BWANA peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mwenyezi Mungu peke yake alimwongoza; hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 bwana peke yake alimwongoza; hakuwepo mungu mgeni pamoja naye.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 32:12
19 Marejeleo ya Msalaba  

Zaidi ya hayo ukawaongoza kwa nguzo ya wingu mchana; na kwa nguzo ya moto usiku; ili kuwapa mwanga katika njia iliyowapasa kuiendea.


Waliopewa hiyo nchi peke yao, Wala mgeni hakupita kati yao);


Yeye aliyewaongoza watu wake jangwani; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Ee BWANA, unifundishe njia yako, Na kuniongoza katika njia iliyonyoka; Kwa sababu yao wanaoniotea;


Akawaongoza kwa wingu mchana, Na usiku kucha kwa nuru ya moto.


Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.


Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.


na hata uzee wenu mimi ndiye, na hata wakati wenu wa mvi nitawachukueni; nimefanya, nami nitachukua; naam, nitachukua na kuokoa.


Kama ng'ombe washukao bondeni, Roho ya BWANA ikawastarehesha; ndivyo ulivyowaongoza watu wako, ili ujifanyie jina lenye utukufu.


Niliwavuta kwa kamba za kibinadamu, kwa mafungo ya upendo; nami nilikuwa kwao kama hao waondoao kongwa tayani mwao, nikaandaa chakula mbele yao.


na huko jangwani, ulipoona alivyokuchukua BWANA, Mungu wako, kama mtu amchukuavyo mwanawe, njia yote mliyoiendea, hata mkafika mahali hapa.


Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu,


Wewe umeoneshwa haya, ili upate kujua ya kuwa BWANA ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.


Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.


kwa maana BWANA, Mungu wetu, yeye ndiye aliyetupandisha sisi na baba zetu kutoka nchi ya Misri; kutoka nyumba ya utumwa; naye ndiye aliyezifanya ishara zile kubwa mbele ya macho yetu, na kutulinda katika njia ile yote tuliyoiendea, na kati ya watu wa mataifa yote tuliopita katikati yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo