Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 31:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduku la Agano la BWANA akawaambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu agizo hili, akawaambia:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la bwana agizo hili, akawaambia:

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 31:25
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi ikawa hapo Musa alipomaliza kuandika maneno ya torati hii katika kitabu, hata yakaisha,


Twaeni kitabu hiki cha torati, mkiweke kando ya sanduku la Agano la BWANA, Mungu wenu, ili kiwepo kama shahidi juu yako.


Musa akaiandika torati hii, akawapa makuhani, wana wa Lawi, waliolichukua sanduku la Agano la BWANA, na wazee wote wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo