Kumbukumbu la Torati 31:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Basi Musa akauandika wimbo huu siku iyo hiyo, akawafundisha wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hivyo Musa akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hivyo Musa akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli. Tazama sura |