Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 31:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Musa akaenda akawaambia Waisraeli maneno haya yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mose aliendelea kuongea na Waisraeli wote,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mose aliendelea kuongea na Waisraeli wote,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mose aliendelea kuongea na Waisraeli wote,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha Musa akaenda akasema maneno haya kwa Waisraeli wote:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha Musa akaenda akasema maneno haya kwa Waisraeli wote:

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 31:1
4 Marejeleo ya Msalaba  

Haya ndiyo maneno Musa aliyowaambia Israeli wote ng'ambo ya Yordani nyikani, katika Araba lililoelekea Sufu, kati ya Parani, na Tofeli, na Labani, na Hazerothi, na Dizahabu.


kumpenda BWANA, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa.


Akawaambia, Mimi leo ni mwenye miaka mia moja na ishirini; siwezi tena kutoka na kuingia, na BWANA ameniambia, Hutavuka mto huu Yordani.


Musa akasema maneno ya wimbo huu masikioni mwa kusanyiko la wana wa Israeli hata yakaisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo