Kumbukumbu la Torati 30:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 nawahubiria hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto wa Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto wa Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ng'ambo ya mto wa Yordani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 nakutangazia siku ya leo kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 nakutangazia leo hii kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki. Tazama sura |