Kumbukumbu la Torati 30:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. Tazama sura |