Kumbukumbu la Torati 3:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Tukaitwaa na nchi wakati huo, katika mikono ya hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng'ambo ya Yordani, kutoka bonde la Arnoni mpaka kilima cha Hermoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ng'ambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki mwa Yordani, kutoka Bonde la Arnoni hadi kufika kwenye Mlima Hermoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Yordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni. Tazama sura |