Kumbukumbu la Torati 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini wanyama wote wa mji, na nyara za miji, tulitwaa kuwa mawindo yetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini wanyama wote wa kufuga pamoja na nyara kutoka miji yao tulichukua vikawa vyetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini wanyama wote wa kufuga pamoja na nyara kutoka kwenye miji yao tulichukua vikawa vyetu. Tazama sura |