Kumbukumbu la Torati 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi BWANA, Mungu wetu, akamtia mikononi mwako na Ogu mfalme wa Bashani, na watu wake wote; tukampiga, asibakizwe yeyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Basi, Mwenyezi-Mungu alimtia mikononi mwetu mfalme Ogu wa Bashani na watu wake, tukawaangamiza hata asibakie mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Basi, Mwenyezi-Mungu alimtia mikononi mwetu mfalme Ogu wa Bashani na watu wake, tukawaangamiza hata asibakie mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Basi, Mwenyezi-Mungu alimtia mikononi mwetu mfalme Ogu wa Bashani na watu wake, tukawaangamiza hata asibakie mtu yeyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hivyo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, pia akamweka Ogu mfalme wa Bashani pamoja na jeshi lake lote mikononi mwetu. Tuliwaangamiza wote, hakubakia hata mmoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hivyo bwana Mwenyezi Mungu wetu pia akamweka Ogu mfalme wa Bashani pamoja na jeshi lake lote mikononi mwetu. Tuliwaangamiza wote, hakubakia hata mmoja. Tazama sura |