Kumbukumbu la Torati 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Lakini wake wenu na watoto wenu, na wanyama wenu wa mji, (nawajua kwamba mna wanyama wengi), na wakae katika miji yenu niliyowapa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Lakini wake zenu, watoto wenu na wanyama wenu, najua mnayo mifugo mingi, watabaki kwenye miji niliyowapeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Lakini wake zenu, watoto wenu na wanyama wenu, najua mnayo mifugo mingi, watabaki kwenye miji niliyowapeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Lakini wake zenu, watoto wenu na wanyama wenu, najua mnayo mifugo mingi, watabaki kwenye miji niliyowapeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Lakini wake zenu, watoto wenu na mifugo yenu (kwani najua mnayo mifugo mingi) wanaweza kukaa katika miji niliyowapa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Lakini wake zenu, watoto wenu na mifugo yenu (kwani najua mnayo mifugo mingi) wanaweza kukaa katika miji niliyowapa, Tazama sura |