Kumbukumbu la Torati 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 miji yote ya nchi tambarare, na Gileadi yote, na Bashani yote, mpaka Saleka na Edrei, nayo ni miji ya ufalme wa Ogu katika Bashani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Tuliiteka miji yote katika sehemu tambarare za mwinuko, na pia eneo lote la Gileadi na Bashani mpaka Saleka na Edrei, miji ya mfalme Ogu huko Bashani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Tuliiteka miji yote katika sehemu tambarare za mwinuko, na pia eneo lote la Gileadi na Bashani mpaka Saleka na Edrei, miji ya mfalme Ogu huko Bashani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Tuliiteka miji yote katika sehemu tambarare za mwinuko, na pia eneo lote la Gileadi na Bashani mpaka Saleka na Edrei, miji ya mfalme Ogu huko Bashani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Tuliteka miji yote kwenye uwanda wa juu, Gileadi yote, Bashani yote hadi Saleka na Edrei, miji ya utawala wa Ogu huko Bashani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Tuliteka miji yote kwenye uwanda wa juu, Gileadi yote, Bashani yote mpaka kufika Saleka na Edrei, miji ya utawala wa Ogu huko Bashani. Tazama sura |