Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 29:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Musa akawaita Israeli wote akawaambia, Mmeyaona yote BWANA aliyomfanya Farao katika nchi ya Misri mbele ya macho yenu, yeye na watumwa wake wote, na nchi yake yote;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mose aliwaita pamoja Waisraeli wote akawaambia, “Mliona nyinyi wenyewe jinsi Mwenyezi-Mungu alivyomtendea mfalme wa Misri, maofisa, watumishi wake na nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mose aliwaita pamoja Waisraeli wote akawaambia, “Mliona nyinyi wenyewe jinsi Mwenyezi-Mungu alivyomtendea mfalme wa Misri, maofisa, watumishi wake na nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mose aliwaita pamoja Waisraeli wote akawaambia, “Mliona nyinyi wenyewe jinsi Mwenyezi-Mungu alivyomtendea mfalme wa Misri, maofisa, watumishi wake na nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Musa akawaita Waisraeli wote, akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Mwenyezi Mungu aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Musa akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 29:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mmeona jinsi nilivyowatendea Wamisri, na jinsi nilivyowachukua ninyi juu ya mbawa za tai, nikawaleta ninyi kwangu mimi.


Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.


Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake yako wazi, lakini hasikii.


BWANA, Mungu wenu, anayetangulia mbele yenu, ndiye atakayewapigania, kwa mfano wa yote aliyowafanyia huko Misri mbele ya macho yenu;


lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya BWANA aliyoifanya, yote.


Haya ndiyo maneno ya agano BWANA alilomwamuru Musa alifanye na wana wa Israeli katika nchi ya Moabu, pamoja na agano alilofanya nao Horebu.


yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu;


kwa maana BWANA, Mungu wetu, yeye ndiye aliyetupandisha sisi na baba zetu kutoka nchi ya Misri; kutoka nyumba ya utumwa; naye ndiye aliyezifanya ishara zile kubwa mbele ya macho yetu, na kutulinda katika njia ile yote tuliyoiendea, na kati ya watu wa mataifa yote tuliopita katikati yao.


Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo