Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 29:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 ili uingie katika agano la BWANA, Mungu wako, na kiapo chake, afanyacho nawe BWANA, Mungu wako, hivi leo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mnasimama hapa ili kufanya agano na Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, agano ambalo Mungu analifanya nanyi siku hii ya leo na kulitia muhuri kwa kiapo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Mnasimama hapa ili kufanya Agano na bwana Mwenyezi Mungu wenu, Agano ambalo Mungu analifanya nanyi siku hii ya leo na kulitia muhuri kwa kiapo,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 29:12
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha, Yehoyada akafanya mapatano kati ya BWANA na mfalme na watu, ili wawe watu wa BWANA; tena kati ya mfalme na watu.


nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwakomboaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.


Pamoja na hayo uliwatwaa wana wako na binti zako, ulionizalia, ukawatoa sadaka kwao ili waliwe. Je! Mambo yako ya kikahaba ni kitu kidogo tu,


Angalieni, nimewawekea nchi mbele yenu, ingieni mkaimiliki nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kwamba atawapa na uzao wao baada yao.


Umemwungama BWANA leo, kuwa ndiye Mungu wako, na kuwa yakupasa kutembea katika njia zake, na kushika amri zake na maagizo yake, na hukumu zake, na kusikiza sauti yake;


BWANA atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya BWANA, Mungu wako, na kutembea katika njia zake.


vijana vyenu, na wake wenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako;


apate kukuweka leo uwe taifa kwake naye apate kuwa Mungu kwako, kama alivyokuambia, na kama alivyowaapia baba zako, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo.


Wala sifanyi na ninyi peke yenu agano hili na kiapo hiki;


Basi Yoshua akafanya agano na wale watu siku ile, akawapa amri na agizo huko Shekemu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo