Kumbukumbu la Torati 29:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 vijana vyenu, na wake wenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 pamoja na watoto wenu, wake zenu na pia wageni wanaoishi katika kambi zenu wanaowapasulia kuni na kuwachotea maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 pamoja na watoto wenu, wake zenu na pia wageni waishio katika kambi zenu wanaowapasulia kuni na kuwachotea maji. Tazama sura |
lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako yeyote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.