Kumbukumbu la Torati 28:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC61 Tena kila ugonjwa, na kila pigo yasiyoandikwa katika kitabu cha Torati hii, atakutia nayo BWANA juu yako, hata utakapokwisha kuangamizwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Atawaleteeni magonjwa ya kila aina na mateso mengine ambayo hayakutajwa katika kitabu hiki cha sheria mpaka muangamie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Atawaleteeni magonjwa ya kila aina na mateso mengine ambayo hayakutajwa katika kitabu hiki cha sheria mpaka muangamie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Atawaleteeni magonjwa ya kila aina na mateso mengine ambayo hayakutajwa katika kitabu hiki cha sheria mpaka muangamie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Pia Mwenyezi Mungu atakuletea kila aina ya ugonjwa na maafa ambayo hayakuandikwa humu katika kitabu hiki cha sheria, hadi utakapokuwa umeangamizwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Pia bwana atakuletea kila aina ya ugonjwa na maafa ambayo hayakuandikwa humu katika kitabu hiki cha sheria, mpaka utakapokuwa umeangamizwa. Tazama sura |