Kumbukumbu la Torati 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa. Tazama sura |