Kumbukumbu la Torati 28:47 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC47 kwa kuwa hukumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Kwa sababu hukumtumikia Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Kwa sababu hukumtumikia bwana Mwenyezi Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako, Tazama sura |