Kumbukumbu la Torati 28:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika. Tazama sura |