Kumbukumbu la Torati 28:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila. Tazama sura |