Kumbukumbu la Torati 28:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtalaaniwa mnapoingia na mnapotoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtalaaniwa mnapoingia na mnapotoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtalaaniwa mnapoingia na mnapotoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Utalaaniwa uingiapo na utokapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Utalaaniwa uingiapo na utokapo. Tazama sura |