Kumbukumbu la Torati 27:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 ufanye na sadaka za amani, ukale huko; nawe furahi mbele za BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu. Tazama sura |