Kumbukumbu la Torati 27:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Jenga hiyo madhabahu ya BWANA, Mungu wako, kwa mawe yasiyochongwa; ukamtolee BWANA, Mungu wako, sadaka za kuteketezwa juu yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Naam, madhabahu yoyote mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lazima ijengwe kwa mawe yasiyochongwa. Juu ya madhabahu hiyo mtamtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu sadaka za kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Naam, madhabahu yoyote mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lazima ijengwe kwa mawe yasiyochongwa. Juu ya madhabahu hiyo mtamtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu sadaka za kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Naam, madhabahu yoyote mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lazima ijengwe kwa mawe yasiyochongwa. Juu ya madhabahu hiyo mtamtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu sadaka za kuteketezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Jengeni madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Jengeni madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu. Tazama sura |