Kumbukumbu la Torati 27:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na iwe, mtakapokwisha vuka Yordani myasimamishe mawe haya, niwaagizayo hivi leo, katika mlima Ebali, nawe yatalize matalizo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mkiwa ngambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mkiwa ngambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mkiwa ng'ambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, na myapake chokaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, mkayatie lipu. Tazama sura |