Kumbukumbu la Torati 27:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Na alaaniwe atwaaye ujira wa kumwua asiye makosa. Na watu wote waseme, Amina. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote apokeaye hongo ili aue mtu asiye na hatia’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote apokeaye hongo ili aue mtu asiye na hatia’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 “‘Alaaniwe mtu yeyote apokeaye hongo ili aue mtu asiye na hatia’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 “Alaaniwe mtu apokeaye rushwa ili kumuua mtu asiye na hatia.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 “Alaaniwe mtu apokeaye rushwa ili kumuua mtu asiye na hatia.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama sura |